Changamoto umeme kukosa nguvu kutatuliwa kinyerezi

Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga

Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga  amesema ukuaji wa kasi wa maendeleo na uchumi katika Mkoa wa Dar es Salaam unachangia kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa ongezeko la mahitaji ya umeme.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS