Rekodi kuelekea Robo Fainali Kombe la Dunia 2022 Mastaa wa timu zilizofuzu hatua ya Robo Fainali Kombe la Dunia 2022 Zimebakia siku mbili kabla ya hatua ya Robo Failani kutimua vumbi nchini Qatar, hizi ni rekodi mbalimbali za timu zitakazopambana kwenye hatua hiyo kuanzia Ijumaa, Disemba 9, 2022. Read more about Rekodi kuelekea Robo Fainali Kombe la Dunia 2022