Wanaume wakatazwa kusimama na wanafunzi wa kike
Serikali wilayani Ludewa mkoani Njombe, imepiga marufuku wanaume kusimama na wanafunzi wa kike kwa zaidi dakika 15 katika mazingira yenye mashaka, baada ya kufanya utafiti mwepesi na kubaini kwamba kuna kundi kubwa la watoto wa kike wanaokatisha masomo kwa kupata mimba za utotoni.