Wakulima waandamana Kiteto
Mamia ya wakulima wa Kijiji cha Ngabolo wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wameandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Wilaya, ambapo ni zaidi ya Km 50 kutaka atatue mgogoro wa ardhi kati yao na hifadhi ya WMA ambao wanataka waondoke na wasifanye shughuli za kibinamu