Polisi wanamshikilia Andros, kifo cha mlinzi wake

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Salim Ali, ambaye alikuwa akifanya kazi ya ulinzi katika eneo moja huko Skanska Tegeta jijini Dar es Salaam amefariki dunia na mwili wake kukutwa umetupwa katika eneo la Kibaha Misugusugu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS