Ajali ya wanandoa Bukoba chanzo mbeba mkaa

Uchunguzi wa awali kuhusu ajali iliyoondoa uhai wa wanandoa Tumaini John na Geofrey John mkoani Bukoba unaonyesha kuwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva mmoja wa pikipiki aliyekuwa amepakia magunia ya mkaa kuisukuma pikipiki waliyokuwa wamepanda watu hao

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS