RC Homera aagiza mashine za CT - Scan kufungwa
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameiagiza Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, kufunga vifaa vya mashine ya mionzi ya CT - Scan ambavyo tayari serikali imevinunua ili wagonjwa waanze kupata huduma mbalimbali za uchunguzi wa kitababu