Sababu wanafunzi Kagera kuishia la saba yatajwa
Tatizo la baadhi ya walimu kushindwa kufundisha mada zote zinazotakiwa kukamilishwa kabla ya watoto kufanya mitihani ya taifa, limetajwa kusababisha baadhi ya watoto hasa wa darasa la saba, kuhitimu na kushindwa kuendelea na elimu ya sekondari katika mkoa wa Kagera