Watu milioni 34 wafariki duniani
Takribani watu milioni 34.6 hufariki kila mwaka duniani kutokana na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani, magoniwa ya moyo, shinikizo la damu, kiharusi na magoniwa ya kisukari, huku Watanzanikumbushwa kuzingatia mtindo wa maisha kukabiliana na magonjwa hayo.