Mkandarasi apewa mwezi mmoja Tanga
Serikali imempa mwezi mmoja mkandarasi kutoka kampuni ya Tontan Project Technology kuhakikisha anawasha umeme katika vijiji 10 kila mwezi baada ya kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa umeme wa Rea katika vijiji 78 kwenye Wilaya za Mkinga, Pangani na Korogwe Mkoani Tanga