Simbachawene akagua kiwanda cha kupiga chapa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa kiwanda cha kupiga chapa cha serikali ambacho mpaka sasa msingi wa jengo na ujenzi wa boma la jengo; kuta, kupiga plasta na kupauwa vimeshafanyika