Siku za kufanya kazi Japan zimepunguzwa kufikia 4
Kuanzia mwezi wa 4 mwakani, wafanyakazi wa serikali kutokea mji mkuu wa Taifa la Japan, Tokyo watakuwa wanufaika wa kwanza wa mfumo wa kupunguziwa siku za kufanya kazi katika wiki, kutoka siku 5 hadi 6 mpaka kufikia siku 4 pekee katika wiki.