Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Gilead Teri
Wananchi wametakiwa kuwa makini na makampuni ya uwekezaji ili kuwaepusha kutapeliwa na watu wasio na mapenzi mema ambao wamekuwa wakitumia mitandao kurubuni wananchi na kujipatia kipato.