Miaka 15 jela kwa kumuua mkewe aliyemfumania

Nyundo ya Mahakama

Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha miaka 15 gerezani mkazi wa Kata ya Chikonji, Manispaa ya Lindi, mkoani humo, Omari Salum Hamisi (21),baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mke wake, Nasra Selemani (20), aliyemfuma na mwanaume mwingine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS