Wavalishwa nguo za kiume baada ya kukeketwa

Vifaa vya ukeketaji

Kufuatia serikali na mashirika mbalimbali kuendelea kupiga vita suala la ukeketaji mkoani Mara, jamii ya Wakurya wilayani Tarime imebuni mbinu mpya za ukeketaji kwa kuwavalisha wasichana nguo za kiume baada ya kufanyiwa Ukeketaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS