Mafuriko yaua watu zaidi ya 100 DRC

Picha ya mafuriko DRC

Zaidi ya watu 100 wamefariki kufuatia mafuriko katika kijiji kimoja karibu na fukwe za Ziwa Tanganyika, huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS