Taifa Stars yapaswa kujihadhari dhidi ya Ethiopia

Stars inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa kundi H ikiwa na alama zake 4 baada ya kucheza michezo minne ikishinda mechi moja ikitoka suluhu mechi moja na kupoteza michezo miwili mfululizo dhidi ya timu ya taifa ya Congo DRC.

Timu ya taifa ya Tanzania taifa Stars itacheza mchezo wa kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia siku ya kesho kutwa Novemba 16 ugenini mchezo utakaochezwa nchini Congo DRC.Mchezo wa kwanza wa kufuzu mashindano hayo Morocco uliochezwa Dar es salaam Benjamin ulitamatika kwa suluhu ya 0-0.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS