Wakulima kusaka masoko Kidigitali
Changamoto ya Masoko inayowakabili wakulima kwa nyakati tofauti za mavuvo ya mazao yao zimeelezwa kuchangiwa na wakulima kutoendana na wakati wa kutumia teknolojia hivyo utafutaji wa masoko kigitali umetajwa kuwa mwarobaini wa kumkwamua mkulima kimasoko