Rukwa kusimamia miradi kwa ubora
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga amezitaka Halmashauri za Mkoa huo kuhakikisha zinatekeleza miradi ya maendeleo kwa ubora na kuzingatia matumizi sahihi ya fedha za umma na kuahidi kuwa ataendelea kufuatilia bila kuchoka.