Rais Samia asisitiza elimu zaidi dhidi ya UKIMWI Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa kuzidisha elimu na kampeni kuhusu maambukizi ya UKIMWI kwani kumekuwa na ongezeko kubwa la maambukizi hasa kwa vijana wadogo Read more about Rais Samia asisitiza elimu zaidi dhidi ya UKIMWI