Watoto 140 walifutiwa matokeo Mwanza
Uongozi wa mkoa wa Mwanza umesema kati ya watoto 333 waliofutiwa mitihani nchini wapo wanafunzi 140 wa shule ya sekondari Thaqaafa iliyopo wilayani Nyamagana jijini Mwanza ambao wazazi wao waliandamana jana kudai matokeo ya watoto wao

