Idadi ya waliokufa na tetemeko bado inaongezeka

Inasemekana zaidi ya watu 1,200 mpaka sasa wamepoteza maisha

Hadi kufikia mchana wa leo, Rais wa Uturuki Recep Erdogan amesema watu 912 wamepoteza maisha nchini Uturuki pekee na wengine 5,383 wamejeruhiwa kutokana na tetemeko la ardhi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS