Wezi wa mafuta ya SGR watiwa mbaroni
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limewakamata watu wanne wanaodaiwa kupokea na kuuza mali ya wizi ikiwemo mafuta ya dizeli lita 850 ambayo yanadaiwa kuibwa kwenye ujenzi wa reli ya kisasa SGR, pikipiki mbili, mapipa, madumu na mipira vilivyokuwa vinatumia kusafirishia na kuhifadhia mafuta

