Timu ya Taifa ya Riadha yaingia kambini Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mbio za Nyika 'Cross Country', imeanza kambi kujiwinda na Mashindano ya Dunia yanayotarajiwa kufanyika nchini Australia, Februari 18 mwaka huu. Read more about Timu ya Taifa ya Riadha yaingia kambini