Madarasa mapya kuongeza ufaulu.
Wanafunzi wa shule ya sekondari Igelegele na Mahina wameishukuru serikali kuwaondolea adha ya msongamano madarasani kwa kuwaongezea vyumba vya madarasa na walimu hali inayopelekea kusoma katika mazingira mazuri huku wakiahidi kufanya vizuri katika mitihani yao

