Baba ambaka bintiye tangu 2022, amharibu kizazi
Christina Dotto mama wa binti wa miaka 11 anayesoma darasa la 4 jijini Mwanza, anaomba msaada wa matibabu kwa binti yake anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi kuanzia mwanzoni mwa 2022 na kusababishiwa maumivu makali ya kiuno, mgongo na kuwa na maumivu kwenye kizazi na anatokwa usaha.

