CCM ni chama cha wanyonge - Dr. Mpango

Makam wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmshauri kuu ya CCM Taifa Dkt. Philip Isdor Mpango amesema CCM ni chama cha wanyonge na kuwataka viongozi wa chama hicho kuwatetea wananchi, kusikiliza changamoto  na kuzipatia ufumbuzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS