Vijana acheni ku - bet pigeni kazi - Chongolo
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Danieli Chongolo amewataka vijana wa Tanzania kuacha kukaa vijiweni na ku-bet kwa siku nzima na badala yake wanatakiwa kutafuta ujuzi ambao utawasaidia kupata fursa ambazo zitakazowaongezea kipato

