Kuhama Ngorongoro ni kulinda haki za binadamu
Serikali ya Tanzania imeiambia Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu kuwa zoezi la kuwahamisha wananchi waliojiandikisha kwa hiari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda katika Kijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoa wa Tanga na maeneo mengine ni kulinda haki za Binadamu

