Maambukizi na vifo kutoka na VVU vyapungua nchini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kuwa Tanzania imefanikiwa kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi kwa asilimia 58 kutoka 130,000 mwaka 2003 hadi 54,000 mwaka 2021 kupitia Mfuko wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na (PEPFAR).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS