Bilioni 15.6 kujenga vivuko vitatu Mwanza Mkuu wa mkoa wa Mwanza Adam Malima amezindua ujenzi wa Vivuko vitatu vyenye thamani ya Tsh. Bil 15.6, ujenzi unaotarajiwa kukamilika mwezi Julai mwaka huu Read more about Bilioni 15.6 kujenga vivuko vitatu Mwanza