Ajali ya gari yauwa watu 17 na kujeruhi 12 Tanga

Muonekano wa gari aina ya Coaster baada ya kugongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso

Ajali ya gari iliyotokea eneo la Magira Gereza, Mombo Wilayani Korogwe majira ya saa 4:30 usiku wa kuamkia leo, imesababisha vifo vya watu 17 na majeruhi 12. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS