Harmonize atangaza kwenda kanisani milele

Pichani ni Harmonize na Pastor Tony Kapola

Moja kati ya stori kubwa mtandaoni kwa sasa ni stori kumuhusu msanii Harmonizekuonekana kanisani siku ya jana jambo ambalo wadau mbalimbali wameliongelea kwa mtazamo tofauti wakihusisha msanii huyo kuokoka ilihali ya kuwa yeye anafahamika kuwa ni muislamu

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS