Siwezi kununuliwa kwa fedha hata siku moja - Mbowe
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe amesema yeye sio kiongozi ambaye anaweza kununuliwa kwa chochote kama ambavyo baadhi ya wanachama wa chama hicho walivyomtazama baada ya kuonekana akifanya vikao mara kwa mara na Rais Samia

