Raia wa China wageuka kero, Kariakoo

Wafanyabiashara wadogo, Soko la Kariakoo

Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS