Mtoto wa rais atuhumiwa kuuza ndege ya nchi Rais Teodoro Obiang Nguema alitwaa madaraka 1979 Mmoja wa watoto wa rais wa Guinea ya Ikweta amekamatwa kwa tuhuma za kuuza ndege kinyume cha sheria mali ya shirika la ndege la taifa. Read more about Mtoto wa rais atuhumiwa kuuza ndege ya nchi