Rais Kikwete asiongezewe muda - Peter Mziray
Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa Tanzania Peter Kuga Mziray amesema mwenendo wa Tume ya Uchaguzi kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura hauridhishi na unatoa viashiaria vya uwezekano wa kuahirishwa kwa uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.