Ligi ya kikapu wanawake kuanza Aprili 12 Ligi ya kikapu klabu bingwa taifa ya wanawake inatarajia kuanza kutimua vumbi Aprili 12 mpaka 17 mwaka huu, uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam. Read more about Ligi ya kikapu wanawake kuanza Aprili 12