Kocha Adolf aanza kuinoa Timu ya Taifa U-15
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 imeingia kambini leo ikiwa chini ya kocha mkuu Adolf Rishard kujiandaa na progamu ya vijana kuwania kufuzu kwa fainali za U-17 mwaka 2017 nchini Madagascar.