BMT yataka nidhamu kwa mabondia Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Neema Msitha, amewasihi mabondia nchini kuwa na nidhamu ili kuaminiwa na jamii pamoja na kuwavutia wadhamini kuwekeza katika mchezo huo Read more about BMT yataka nidhamu kwa mabondia