Reli Mpya kuanza kujengwa June 30
Wizara ya Uchukuzi nchini Tanzania, inatarajia kuanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa reli mpya, itakayoiunganisha Tanzania na nchi za nyingine za maziwa makuu ,mradi utakaogharimu fedha za Tanzania shilingi trilioni 14.