Belle 9: VIjana jiandikisheni BVR Belle 9 Belle 9, msanii wa muziki wa kizazi kipya anayeiwakilisha poa Morogoro kupitia muziki wa kizazi kipya, anaingia katika orodha ya mastaa wa Bongo wanaounga mkono kampeni ya ZamuYako2015. Read more about Belle 9: VIjana jiandikisheni BVR