Planet Bongo
Aliyekuwa Mdau wa Muziki wa Kizazi kipya nchini na Meneja wa Kundi la Tip Top Connection Abdul Bonge alifariki dunia wiki iliyopita Mengi kuhusiana na kifo chake hadi mazishi yake usikose kuangalia Planet Bongo Jumatatu hii sa 3:00 usiku, EATV pekee