Hisia na hisia za 'Mingle'
Staa wa muziki Hisia, ameendelea kutumia muziki wake katika kuwaleta pamoja watu, akigusia ujio mpya wa The Mingle, tukio ambalo linahusisha burudani ya muziki sambamba na jukwaa la kukutanisha wadau na marafiki katika tasnia ya burudani.