Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Ustawi wa Vijana
Vijana wa Afrika wamemtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete moja ya tuzo kubwa zaidi zinayotolewa na vijana wa Afrika kwa kutambua uongozi wake bora na mchango wake katika kuendeleza vijana.