Wafanyabiashara utalii wataka kuondolewa vikwazo
Wafanyabiashara wanaotoa huduma kwa watalii Jijini Arusha, wametaka kuondolewa kwa kikwazo kingine cha tozo katika mipaka ya nchi hizo mbili, ili kuimarisha ushirikiano na kujenga dhana ya uwepo wa soko la pamoja la jumuiya ya Afrika Mashariki.