Madee aangalia soko zaidi Msanii wa muziki Madee, amezungumzia mabadiliko makubwa ambayo yanaonekana sasa katika muziki wake kuangalia zaidi soko, huku akitoa angalizo kwa wasanii kuangalia sana namna wanavyobadilika kutokana na hatua hiyo. Read more about Madee aangalia soko zaidi