DIT wapata vifaa na maabara za kisasa kutoka FESTO
Moja ya viwanda vinavyotumia teknolojia ya FESTO.
Uzalishaji katika viwanda mbalimbali nchini Tanzania, unatarajia kuongezeka mara dufu baada ya kuingizwa nchini kwa huduma, elimu pamoja na teknolojia ya kisasa ya jinsi ya kuendesha viwanda.