Meninah: 'Kaniganda' ni wazo tu
Star wa muziki Meninah la Lida ametolea ufafanuzi kisa ndani ya wimbo wake mpya wa 'Kaniganda' kinachohusiana na wanawake wawili kugombania mwanaume mmoja, na kukanusha kuwa ni wazo tu na halihusiani na kisa cha kweli katika maisha yake.