Fid Q, Keisha watunukiwa kwa kusaidia jamii
Wasanii wa muziki Farid Kubanda (Fid Q) na Khadija Shaban Keysha, pamoja na mchoraji na msanii maarufu Paul Ndunguru wametunukiwa tuzo za heshima sambamba na Watanzania watano mashuhuri kutoka Umoja wa Ulaya.